NIMEWAHI KUSHIKA MIMBA YA BARNABA! - AMBER LULU

Mmoja kati ya ma-video vixen wakali na wanaokiki zaidi hapa Bongo ni huyu hapa Amber Lulu, mrembo ambaye amefanikiwa kujizolea umaarufu mkubwa kutokana na picha zake za mitego katika mitandao.
Barnaba Classic na Amber Lulu
Amber Lulu amewaacha wengi mdomo wazi baada ya kufunguka kuwa amewahi kubeba ujauzito wa msanii mkali wa Bongo Fleva Barnaba Classic ila kwa bahati mbaya ujauzito huo uliharibika.

Akiwa kwenye exclusive interview na The Red Chair Amber Lulu amefunguka hayo na kudai kuwa hakuwa na nia ya kuitoa mimba hiyo bali alitaka kujifungua ila kwa bahati mbaya ikaharibika.

Play hii video hapa chini kumsikiliza Amber Lulu akifunguka mengi zaidi kuhusu mastar wenzake kama Gigy Money, Young Dee na wengineo kibao.


++++++++++++++++++++++++++++++++++++++

++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
KUWA KARIBU NASI LINDIYETU.COM
Usipitwe!! Ungana na Familia hii kupitia FacebookTwitter na Instagram ili kupata Infortainment zote!! Usikose kujiunga na Youtube channel yetu ili kupata Exclusive mbalimbali kali kutoka LindiYetu TV

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post