Unknown Unknown Author
Title: DARASSA APASUA JIPU NA KUSEMA KUWA AMEWAHI KWENDA KWA MGANGA WA KIENYEJI! SABABU IKIWA NI HII HAPA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
January 11, 2017 katika kipindi cha Ala za Roho cha Clouds FM hitmaker wa ngoma ya " Muziki" Darassa CMG alikuwa mgeni rasmi k...
January 11, 2017 katika kipindi cha Ala za Roho cha Clouds FM hitmaker wa ngoma ya "Muziki" Darassa CMG alikuwa mgeni rasmi katika kipindi hicho kwaajili ya kufanyiwa interview na Diva The Bawse ambaye ndio host wa Show hiyo.
Diva The Bawse na Darassa CMG
Maswali ni mengi ambayo aliulizwa mkali huyo lakini moja kati ya hayo ni kwamba amewahi kwenda kwa Mganga wa kienyeji..!!?
Darassa alijibu hivi:
“Kwenye maisha yangu nimeshawahi kwenda kwa mganga zamani sana, sisi tunaoishi uswahilini ni vitu vingi vinatokea. Nilikwenda kwa nia ya kuji-google tu, haikuwa inahusiana kabisa na music, ni personal life yangu.” 

Swali kwako wewe msomaji, umewahi kwenda kwa mganga? Niandikie hapa chini na uniambie ni sababu gani zilikupeleka kwa mganga huyo.

++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
KUWA KARIBU NASI LINDIYETU.COM
Usipitwe!! Ungana na Familia hii kupitia FacebookTwitter na Instagram ili kupata Infortainment zote!! Usikose kujiunga na Youtube channel yetu ili kupata Exclusive mbalimbali kali kutoka LindiYetu TV

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top