Unknown Unknown Author
Title: MAJIBU YA TFF KUHUSU SAKATA LA OKWI KUSAJILIWA NA KUICHEZEA SIMBA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Kumekua na taarifa zinatembea mitandaoni na utani pia wa Mkuu wa idara ya habari kwenye klabu ya Simba Haji Manara kwamba baada ya Emmanuel...
Kumekua na taarifa zinatembea mitandaoni na utani pia wa Mkuu wa idara ya habari kwenye klabu ya Simba Haji Manara kwamba baada ya Emmanuel Okwi kuvunja mkataba na timu aliyokua anaichezea huko Denmark, anarudi Simba na kocha akiamua atacheza February.
Emmanuel Okwi
Sasa baada ya kuwepo kwa hizo taarifa, shirikisho la soka Tanzania (TFF) limeongea yafuatayo

"Swala la usajili wa mtu mnaemtaja Okwi, Simba inaweza ikamsajili lakini itamtunza tu ama kucheza mechi za kirafiki lakini kucheza ligi kuu au kombe la FA haiwezekani"

"Kucheza ligi kuu au kombe la FA kwa msimu huu December January mpaka May June hachezi, kwenye mpira wa miguu ukikosa utaratibu, kanuni na sheria mpira wa miguu hamna…. tutakua tunafanya mambo ya ovyo ovyo mwanzo mwisho"
– TFF

"Utaratibu huo unaozungumzwa na kanuni hiyo vipo Ulaya ambako kuna Treni za umeme na vitu tofauti, kule ni Ulaya na hapa ni Afrika, hapa ni Tanzania…. anaeongoza mpira na mwenye mpira wake Tanzania ni TFF"
++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
KUWA KARIBU NASI LINDIYETU.COM
Usipitwe!! Ungana na Familia hii kupitia FacebookTwitter na Instagram ili kupata Infortainment zote!! Usikose kujiunga na Youtube channel yetu ili kupata Exclusive mbalimbali kali kutoka LindiYetu TV

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top