MADEE KUWAWEKA HADHARANI WATU WALIOFANYA VIDEO YAKE YA HELA IONDOLEWE YOUTUBE

Baada ya kulalamika juu ya video yake ya “Hela” kutoweka kwenye chaneli yake ya Youtube, Madee amerudi upya na kusema kwamba waliomfanyia tukio hilo atawaanika katika kurasa yake.
Madee
“Hela” ni moja ya ngoma ambayo bado inasumbua kila kona kwenye masikio ya watu kila inapopigwa, Bad newz ni kwamba tangu siku moja kupita baada ya Madee kufunguka kuhusu video ya wimbo huo kufutwa, leo amerudi upya na mapovu kwa wale ambao waliomfanyia hivyo na kikubwa ni kwamba ameahidi kuwaweka hadharani kwani namba zao anazo.

Madee
Kupitia kurasa yake ya Instagram, Madee aliamua kufunguka kwa kusema kwamba baada ya kushindwa mchezo wa hadharani sasa wanaleta janja janja kwa kuirepot kazi yake kuwa ina matatizo.
Madee

++++++++++++++++++++++++++++++++++++++

++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
KUWA KARIBU NASI LINDIYETU.COM
Usipitwe!! Ungana na Familia hii kupitia FacebookTwitter na Instagram ili kupata Infortainment zote!! Usikose kujiunga na Youtube channel yetu ili kupata Exclusive mbalimbali kali kutoka LindiYetu TV

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post