Unknown Unknown Author
Title: JAMES RODRIGUEZ AFUNGUKA KUHUSU KUIHAMA REAL MADRID
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Baada ya kuibuka kwa tetesi nyingi za mchezaji wa soka wa Real Madrid , James Rodriguez kutaka kuondoka kwenye timu hiyo, mwenyewe amevunj...
Baada ya kuibuka kwa tetesi nyingi za mchezaji wa soka wa Real Madrid, James Rodriguez kutaka kuondoka kwenye timu hiyo, mwenyewe amevunja ukimya na kuweka wazi kila kitu.
James Rodriguez
Akiongea na waandishi wa habari Jumatano hii baada ya mechi yao dhidi ya Sevilla na kufanikiwa kushinda mabao 3-0 huku akifunga magoli mawili, James alisema bado yupo na ataendelea kuichezea Madrid.
“I’m staying, I’m staying. Real Madrid is the club I dreamed about and here I am living that dream,” amesema James.

Timu kubwa kadhaa za ligi kuu ya Uingereza zimetajwa kumtaka mchezaji huyo ikiwemo Manchester United.

++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
KUWA KARIBU NASI LINDIYETU.COM
Usipitwe!! Ungana na Familia hii kupitia FacebookTwitter na Instagram ili kupata Infortainment zote!! Usikose kujiunga na Youtube channel yetu ili kupata Exclusive mbalimbali kali kutoka LindiYetu TV

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top