Januari 4, 2017 imekuwa ya kipekee hasa kwa wafuasi wa Mtandao wa Instagram wa msanii Wolper.
Msanii huyo wa Filamu Nchini ameamua kuwashangaza mashabiki zake kwenye ukurasa wake huo kwa kuposti picha ya Mpenzi wake Kijana anayefanya muziki wa Bongo Fleva kutokea Lebo ya WCB Wasafi Harmonize, huku akiweka Ujumbe ambao umeamsha maswali mengi.
"Nina akili timamu me siyo mtoto mdogo, endelea na maisha yako it over waambie rasmi usifiche @harmonize_tz i hate love."
Lakini kitu kikubwa cha Kushangaza ni kwamba Ujumbe huo uliweza kufutwa Muda mfupi tu baada ya kuwekwa. Lakini kama ilivyo kuwa ada Lindiyetu.com huwaga hatushindwi.
Baadhi ya watu wameikosoa post hiyo na kusema kuwa Couple hiyo inatafuta kiki tu. Labda wanataka kufanya jambo fulani hivyo wanatafuta Attention kwa Mashabiki.
Hakika mimi na Wewe hatuna Jibu kamili Lets wait tuone Je nikweli Harmonize kaanza mwaka 2017 kwa kuachwa? Au ndio Ujio wa Nyimbo Mpya?
Niachie Comment yako niambie hiyo inaweza kuwa ni nini?
Niachie Comment yako niambie hiyo inaweza kuwa ni nini?
++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
KUWA KARIBU NASI LINDIYETU.COM
Usipitwe!! Ungana na Familia hii kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata Infortainment zote!! Usikose kujiunga na Youtube channel yetu ili kupata Exclusive mbalimbali kali kutoka LindiYetu TV
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.