BRAND NEW AUDIO MUSIC | BAJAJI - NAVY KENZO FT PATORANKING | DOWNLOAD /LISTEN

Navy Kenzo
Kutoka katika Albamu yao ya Above in a Minutes Kundi la Navy Kenzo limeachia wimbo mwingine unaopatikana katika albamu hiyo inayotarajiwa kuachiwa hivi karibuni huku mamia wa mashabiki wakiwa na shauku nayo.

Wimbo unaitwa "Bajaji" wamemshirikisha Raper kutoka Nigeria Patoranking. 


Unaweza isikiliza au kuipakua Hapa.
++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
KUWA KARIBU NASI LINDIYETU.COM
Usipitwe!! Ungana na Familia hii kupitia FacebookTwitter na Instagram ili kupata Infortainment zote!! Usikose kujiunga na Youtube channel yetu ili kupata Exclusive mbalimbali kali kutoka LindiYetu TV

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post