HII HAPA LIST YA WASHINDI WA TUZO ZA CAF 2016, MRITHI WA SAMATTA HUYU HAPA

GLOCAFAWARDS2016
January 5 2017, Abuja Nigeria ndio ilifanyika hafla ya utolewaji wa tuzo za soka za mwaka 2016 na Shirikisho la Soka Barani Afrika Caf, tuzo hizo ambazo utolewa kwa wachezaji waliyofanya vizuri kwa mwaka husika kwa kupigiwa kura, staa wa timu ya taifa ya Algeria na timu ya Leicester City ya England Riyad Mahrez alitangazwa mshindi wa tuzo ya mchezaji bora Afrika.

Mahrez alitangazwa kushinda tuzo hiyo kwa kura 361, huku Pierre-Emerick Aubameyang akishika nafasi ya pili kwa kupata kura 313 wakati Sadio Mane wa Liverpool amemaliza nafasi ya tatu kwa kupata kura 186.

Tuzo ya mchezaji bora wa Afrika kwa wachezaji wa ndani ambayo alishinda mtanzania Mbwana Samatta kwa mwaka 2015, safari hii imerudi tena Afrika Mashariki kwa golikipa wa Mamelodi Sundowns na timu ya taifa ya Uganda Denis Onyango kushinda tuzo hiyo.


HII HAPA LIST NZIMA YA WASHINDI











++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
KUWA KARIBU NASI LINDIYETU.COM
Usipitwe!! Ungana na Familia hii kupitia FacebookTwitter na Instagram ili kupata Infortainment zote!! Usikose kujiunga na Youtube channel yetu ili kupata Exclusive mbalimbali kali kutoka LindiYetu TV

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post