JERRY MURO AANDIKA BARUA YA KUOMBA KUPUNGUZIWA ADHABU NA TFF

Kama unakumbukumbu Nzuri mnamo tarehe 7/7/2016 Msemaji wa klabu ya Yanga Jerry Muro alianza kutumikia adhabu aliyopewa toka kwa Kamati ya Maadili ambayo iko chini ya Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini TFF
Jerry Muro
Jerry Muro
Kifungo ambacho kimedumu kwa miezi Sita hadi hivi sasa.

Kufuatia kifungo Hicho Muro ameamua kuomba kupunguziwa adhabu hiyo iliaweze kuitumikia klabu yake ya Dar Young African (Yanga) kwani amesema kwa kipindi hicho chote cha adhabu ameshindwa kuitumikia klabu hiyo licha ya kuwepo kwa mkataba wa kazi na klabu hiyo.

Hii hapa chini ni Barua iliyotumwa shirikisho la Mpira wa Miguu nchini TFF.
barua ya Jerry Muro

++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
KUWA KARIBU NASI LINDIYETU.COM
Usipitwe!! Ungana na Familia hii kupitia FacebookTwitter na Instagram ili kupata Infortainment zote!! Usikose kujiunga na Youtube channel yetu ili kupata Exclusive mbalimbali kali kutoka LindiYetu TV

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post