January 21 2017 Mabingwa watetezi wa Kombe la Hispania Laliga Klabu ya Real Madrid ilishuka Dimbani kukipiga dhidi ya Malaga.
Mtanange uliochezwa kwenye Dimba la Santiago Bernabeu Mjini Madrid.
Katika Mchezo huo Real Madrid waliweza kuibuka na ushindi wa goli 2-1 Magoli ya Real yote mawili yakifungwa na Beki Sergio Ramos dakika ya 35 na 43 huku lile la Kufutia Machozi la Malaga likiwekwa kimiani na J. Anor dakika ya 63.
REAL MADRID MALAGA
VIKOSI VYA TIMU ZOTE MBILI
REAL MADRID MALAGA
- 1K. Navas
- 5R. Varane
- 4Sergio Ramos
- 12Marcelo
- 25'
- 6Nacho
- 14Casemiro
- 37'
- 8T. Kroos
- 19L. Modrić
- 78'
- 7Cristiano Ronaldo
- 9K. Benzema
- 82'
- 17Lucas Vázquez
- 85'
- 1C. Kameni
- 29Luis
- 18R. Rosales
- 4M. Villanueva
- 7Juan Carlos
- 39'
- 73'
- 14Recio
- 11G. Castro
- 67'
- 31Pablo Fornals
- 6Ignacio Camacho
- 78'
- 10J. Añor
- 16A. Peñaranda
- 79'
Substitutes
- 13Kiko Casilla
- 23Danilo
- 16M. Kovačić
- 78'
- 22Isco
- 25'
- 20Marco Asensio
- 18M. Díaz
- 21Álvaro Morata
- 82'
Substitutes
- 13D. Boyko
- 3M. Demichelis
- 73'
- 39Javi Ontiveros
- 17Duda
- 20Keko
- 21Jhony
- 67'
- 8M. Santos
- 79'
- 85'
Manager
Z. Zidane
Manager
M. Romero
Usipitwe!! Ungana na Familia hii kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata Infortainment zote!! Usikose kujiunga na Youtube channel yetu ili kupata Exclusive mbalimbali kali kutoka LindiYetu TV
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.