Unknown Unknown Author
Title: DIAMOND NA ZARI WALIPAMBA JARIDA MAARUFU LA SAUZI
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
MWANAMUZIKI mwenye taito kubwa kwa sasa nchini na Afrika, mtoto wa Tandale na Mkurugenzi wa Kampuni ya Wasafi Classic Baby (WCB), Nassib...
Papas and Mamas
MWANAMUZIKI mwenye taito kubwa kwa sasa nchini na Afrika, mtoto wa Tandale na Mkurugenzi wa Kampuni ya Wasafi Classic Baby (WCB), Nassib Abdul ‘Diamond Platnumz’ na mzazi mwenzake, Zarina Hassani ‘Zari’ wamelamba shavu kubwa baada ya kuvuta mkataba wa kupiga picha za kupendezesha jarida maarufu la Afrika Kusini liitwalo ‘Papas and Mamas’.

Kitendo hicho kimewafanyanyote hao kuingia katika rekodi moja na hayati Nelson Mandela Madiba ambaye naye aliwahi kuandikwa sana katika jarida hilo.

++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
KUWA KARIBU NASI LINDIYETU.COM
Usipitwe!! Ungana na Familia hii kupitia FacebookTwitter na Instagram ili kupata Infortainment zote!! Usikose kujiunga na Youtube channel yetu ili kupata Exclusive mbalimbali kali kutoka LindiYetu TV

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top