Kutoka kwenye album ya Above In a Minute (AIM) yakwao Navy Kenzo hii hapa ni moja kati ya ngoma ambazo zinapatikana kwenye album hiyo.
Ameshirikishwa Mkali wa Hip hop Mwana dada Rosa Lee, ngoma imepewa Jina "BLESS UP". Una kila sababu ya kuenjoy nayo. Sikiliza au download hapa chini.
++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
KUWA KARIBU NASI LINDIYETU.COM
Usipitwe!! Ungana na Familia hii kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata Infortainment zote!! Usikose kujiunga na Youtube channel yetu ili kupata Exclusive mbalimbali kali kutoka LindiYetu TV
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.