Mkali wa Hiphop nchini Tanzania Fareed Kubanda almaarufu kama Fid Q ameamua kuwa-surprise mashabiki zake kwa kuwashushia video ya ngoma yake aliyoitoa kama interlude kwenye birthday yake ya mwaka 2015.
Inaitwa "Kemosabe", nimeileta hapa karibu yako ili uweze kuenjoy nayo.
++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
KUWA KARIBU NASI LINDIYETU.COM
Usipitwe!! Ungana na Familia hii kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata Infortainment zote!! Usikose kujiunga na Youtube channel yetu ili kupata Exclusive mbalimbali kali kutoka LindiYetu TV
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.