Nimelinyaka hili Club Banger jipya na kali linalomilikiwa na mkali wa RnB wa hapa nchini Tanzania Bernard Paul almaarufu kama Ben Pol.
Limepewa jina la Phone, na humu ndani amepewa mashavu mkali kutoka Nigeria Mr Eazi. Producer ni Tiddy Hotter. Enjoy
++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
KUWA KARIBU NASI LINDIYETU.COM
KUWA KARIBU NASI LINDIYETU.COM
Usipitwe!! Ungana na Familia hii kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata Infortainment zote!! Usikose kujiunga na Youtube channel yetu ili kupata Exclusive mbalimbali kali kutoka LindiYetu TV
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.