Muimbaji wa Komela, Dayna Nyange amesema atamuonesha wazi mpenzi wake baada ya kuolewa.
Akizungumza na Eddy Msafi kupitia kipindi cha Full Charge, Pride FM, Mtwara, Dayna amedai kuwa haoni sababu ya yeye kuyaweka hadharani mahusiano ya kawaida ambayo yanaweza kufa wakati wowote.
"Nilishasema kuwa ntaweka mahusiano yangu hadharani ya mume wangu sio mpenzi au mtu tu ambaye niko naye kwasababu sisi ni binadamu yanatokea mengi pia ujana yanatokea mengi. Unaweza kuwa na mtu ambaye unampenda sana lakini huwezi kujua ndani ya moyo wake na yeye anakupenda the same au sio," alisema.
“Mmeonekana siku mbili tatu yanatokea majaribu hamko wote, tena kesho upo na mahusiano mengine unayaweka mnapishana hamko wote, kinakuwa sio kitu kizuri,” amesisitiza.

++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
KUWA KARIBU NASI LINDIYETU.COM
KUWA KARIBU NASI LINDIYETU.COM
Usipitwe!! Ungana na Familia hii kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata Infortainment zote!! Usikose kujiunga na Youtube channel yetu ili kupata Exclusive mbalimbali kali kutoka LindiYetu TV
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.