Baada ya kufanya vizuri na ngoma "I Get High" msanii Godzilla ameachia ngoma yake mpya kwa mwaka 2017 aliyoipa jina "KILA WAKATI" amemshirikisha Raper kutoka Kundi la WEUSI G-NAKO. Ngoma hiyo imefanywa katika Studio za Mj Records na Producer Daxo Chali.
Enjoy nayo Hapa.
++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
KUWA KARIBU NASI LINDIYETU.COM
KUWA KARIBU NASI LINDIYETU.COM
Usipitwe!! Ungana na Familia hii kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata Infortainment zote!! Usikose kujiunga na Youtube channel yetu ili kupata Exclusive mbalimbali kali kutoka LindiYetu TV
Tags
MUSIC NEWS