Unknown Unknown Author
Title: WENGI WAJITOKEZA KWENYE MSIBA WA MPOKI BUKUKU TABATA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Mhariri Mtendaji wa gazeti la Mtanzania, Absalom Kibanda akimfariji mjane wa marehemu Mpoki Bukuku, Lilian nyumbani kwa marehemu, Tabat...
Msibani kwa Mpoki Bukuku
Mhariri Mtendaji wa gazeti la Mtanzania, Absalom Kibanda akimfariji mjane wa marehemu Mpoki Bukuku, Lilian nyumbani kwa marehemu, Tabata Bwawani, Dar es Salaam. Bukuku alifariki juzi baada ya kugongwa na gari Barabara ya Bagamoyo karibu na Kituo cha ITV, Mwenge.Msibani kwa Mpoki Bukuku
Kibanda akimfariji mama mzazi wa marehemu Mpoki BukukuMsibani kwa Mpoki Bukuku
Kiongozi wa Chama cha ACT, Zitto Kabwe (kulia) akizungumza jambo na Shemeji wa marehemu Mpoki Bukuku, Edwin Mjwahuzi alipokwenda kuwafariji wafiwa nyumbani kwa marehemu, Tabata Bwawani.Msibani kwa Mpoki Bukuku
Waandishi wa habari wakiwa kwenye msiba wa marehemu Mpoki Bukuku ambaye alikuwa Mpigapicha mwandamizi wa magazeti ya Kampuni ya The GuardianMsibani kwa Mpoki Bukuku
Kamanda Richard Mwaikenda, ambaye pia ni Mpigapicha Mkuu wa gazeti la Jambo Lelo, Kamanda Richard Mwaikenda (kulia) akiwa na wanahabari wenzie kwenye msiba huo. Kutoka kushoto ni Mpigapicha wa Waziri Mkuu, Hilary Bujiku, Mmiliki wa Blog ya K-VIS, Khalfan Said, Mmiliki wa Blog ya Michuzi, ambaye pia ni Mpiga Piacha na Mwandishi wa Habari Msaidizi wa Rais, Muhidini Issa Michuzi, Mpigapicha Mkuu wa Gazeti la Mwananchi, ambaye ni shemeji wa marehemu Mpoki, Edwin Mjwahuzi na Francis Chirwa ambaye ni mmoja wa viongozi wa Bodi ya Wahariri wa Gazeti la Raia Mwema.Msibani kwa Mpoki Bukuku
Waombolezaji wakiwa kwenye msibaMsibani kwa Mpoki Bukuku
Msibani kwa Mpoki Bukuku
Msibani kwa Mpoki Bukuku
Jirani rafiki wa karibu wa marehemu, Mpoki, maarufu kwa jina la Mijisu akiwa katika Majonzi wakati wa msiba.

PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA, KAMANDA WA MATUKIO BLOG.
______________________________________
  • MFAHAMU VIZURI ZARI WA DIAMOND PLATNUMZ

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top