VIDEO: RICH MAVOKO AITIKISA ESCAPE ONE NDANI YA JUKWAA LA AFTER SKUL BASH 2016

Kama ulikuwa umepitwa kwasababu ya kuwa na mambo mengi ya hapa na pale leo hii Decemba 10 lile Tamasha kubwa la Wanafunzi lijulikanalo kama After School Bash linaendelea Escape One jijini Dar es Salaam.
Rich Mavoko.
Katika hali isiyotarajiwa na watu wegi waliofurika katika Tamasha hilo ni Suprise ya kuwepo kwa M-WCB Rich Mavoko

Shangwe nyingi ziliibuka mara tu baada ya kutokea kwa Steji msanii huyo anaye tamba na kibao cha "KOKORO" alicho mshirikisha Bosi wake Diamond Platnumz.

Sitaki nikumalizie Uhondo tazama mwenyewe hapa chini:
Watu SIMBAAA SIMBAA SIMBAA SIMBAA...!!

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post