ALIKIBA APIGA HAT-TRICK TUZO ZA EATV 2016, ORODHA KAMILI YA WASHINDI HII HAPA

Tuzo za EATV
Usiku wa kuamkia Desemba 11, 2016 zilifanyika Tuzo za EATV na kupatikana washindi katika vipengele mbalimbali huku msanii Alikiba a.k.a King Kiba akiondoka na Hat-trick kwa Kupata tuzo Tatu kupitia vipengele vya Msanii Bora wa Kiume, Wimbo Bora wa Mwaka na Video Bora ya Mwaka Ikichukuliwa na Aje.

Lejindari Lady jaydee naye hakuondoka patupu baada ya kushinda kipengele cha Msanii bora wa Kike. Huku Tuzo ya Msanii chipukizi ikichukuliwa na Mzee wa Kisingeli ManFongo.

Hii hapa ni Orodha Kamili ya washindi wa Tuzo hizo.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post