ALIKIBA AWAACHA NJIA PANDA MASHABIKI WAKE

Leo Decemba 10, 2016. Alikiba kawaacha na shauku mashabiki wake kwa caption yake aliyoiandika kwenye ukurasa wake wa instagram "GET READY".Alikiba
Hadi sasa Bado hajajulikana mkali huyo wa mdundo wa "AJE" na "KAJIANDAE" ameashiria kuja na kitu gani,
Alikiba amewaacha njia panda wafuasi wake katika mtandao huo huku wakijiuliza je msanii huyo anakuja na kipya kutoka kolabo ya Navykenzo? Au ile ya mdogo wake Abdukiba?au ni kimataifa zaidi na Davido? Au ataendeleza kuwatoa artist wake, Au ni ile documentary alioandaa akiwa katika mbuga za wanyama wakati wa Birthday yake?.
Alikiba Post
Wote hatujui Jambo la Muhimu ni kuhakikisha unakaa karibu na Lindiyetu.com kwasababu tuko hapa kukuhabarisha kila jipya kutoka ndani na nje ya bongo.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post