VIDEO : C.E.O WA AZAM FC ANENA HAYA KUHUSIANA NA USAJILI WA WACHEZAJI NA WALIOTOKA KWA MKOPO

Saad Kawemba
Leo December 16 2016 CEO wa Azam FC Saad Kawemba ameamua kuweka wazi masuala kadhaa kuhusiana na usajili, ufafanuzi wa Saad umekuja ikiwa ni siku moja imepita toka dirisha dogo la usajili kufungwa jana December 15.

Saad ameweka wazi masuala kadhaa ila ameweka wazi lile suala la mshambuliaji wao Ame Ally aliyekuwa kwa mkopo Simba kuwa wamemrudisha Azam FC kwa nguvu na kumtoa kwa mkopo Kagera Sugar.


*******************

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post