MPENZI WA ZAMANI WA HAMADAI AFUNGUKA HAYA BAADA YA SHILOLE KUMPIGA KIBUTI HAMADAI

August 15 mwaka huu zilimake headlines taarifa za wasanii wawili wa kike wa Bongo Fleva kupishana maneno kwa kisa kilichodaiwa kuwa ni mwanaume ambaye naye pia ni msanii wa muziki anayefahamika kwa jina la Hamadai.
Shilole
Ni mwanadada Shilole pamoja na mrembo Zahra wa THT ndio ambao waligombana kwa kile kilichoaminika kuwa Hamadai ndio chanzo. Ni baada ya Hamadai kusemekana kaingia katika mahusiano ya kimapenzi na Shilole huku ikifahamika kuwa aliyekuwa mpenzi wake ni Zahra.

Sasa story ambazo zimevuma hivi karibuni ni kwamba mwanadada Shilole ameingia kwenye penzi jipya tena motomoto na mtu mzima Boy Caro.
Boy Caro
Tetesi zinazovuma kitaani ni kwamba ndugu yetu Hamadai anataka kurudisha maguu kwenye genza lake la zamani (Zahra) baada ya kupigwa chini na Shilole.

Soudy Brown
amemvutia waya Zahra kwenye U-Heard ya leo ili kujua ni upi msimamo wake endapo Hamadai atahitaji kurudi mikononi mwake. Ubuyu kamili nimekuwekea hapa kwenye video hii hapa chini unaweza kuplay ili kumsikiliza Zahra akipiga story na Soudy Brown.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post