Itakuacha mbavu chanu hii ya Haji Salum almaarufu kama Mboto kuwahusu washkaji wote ambao wanategemea mualiko katika sherehe za kuukaribisha mwaka mpya wa 2017.
Ni kupitia kurasa yake ya Instagram ambapo ndio sehemu ambayo Mboto amevunja mbavu za watu kwa kupost video yenye sekunde 59 inayomuonyesha akizungumza ujumbe mzito kwa washkaji zake woote ambao wanategemea kualikwa na mkali huyo katika sherehe hizo za kuukaribisha mwaka mpya.
Chukua dakika 1 kuitazama video hiyo, ila ikikunogea usiache kucopy link na kushare na mshkaji wako.
Chukua dakika 1 kuitazama video hiyo, ila ikikunogea usiache kucopy link na kushare na mshkaji wako.
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.