Mtandao wa kuuza nyimbo za muziki nchini Mkito.Com, umetoa list ya Nyimbo 5 za wasanii wa muziki nchini ambazo zimepakuliwa zaidi kupitia mtandao huo ndani ya mwaka 2016.
Mtandao huo umepost hiyo picha (hapo juu) kupitia twitter na kuandika:
"Tunapofunga mwaka, hizi ni baadhi ya ngoma zilizowavutia wengi kwa mwaka 2016. Hebu tutajie zako tano ulizozikubali zaidi mwaka huu".Kwa upande menaja na Alikiba na Barakah The Prince, Seven Mosha baada ya kuona taarifa hiyo ametweet:
"Most downloaded @JideJaydee @BarakaThePrince @OfficialAliKiba"Mtandao huo kwa sasa ni mmoja kati ya mitandao mikubwa nchini Tanzania ambayo inategemewa na wasanii kwa kuuza nyimbo zao.
++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
KUWA KARIBU NASI LINDIYETU.COM
Usipitwe!! Ungana na Familia hii kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata Infortainment zote!! Usikose kujiunga na Youtube channel yetu ili kupata Exclusive mbalimbali kali kutoka LindiYetu TV
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.