Unknown Unknown Author
Title: NUH MZIWANDA KUTOKA NA KHADIJA KOPA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Msani Nuh Mziwanda ambaye amefanya vizuri na wimbo wake  "Jike Shupa"  akiwa na Alikiba amefunguka na kuweka wazi mipango yake...
Msani Nuh Mziwanda ambaye amefanya vizuri na wimbo wake "Jike Shupa" akiwa na Alikiba amefunguka na kuweka wazi mipango yake ya mwakani 2017 na kusema kuwa tayari mpaka sasa amejipanga na ngoma kali kibao.Nuh Mziwanda na Khadja Kopa
Nuh Mziwanda na Khadja Kopa
Nuh Mziwanda alisema kuwa anatambua kuwa mashabiki zake wanasubiri ngoma mpya lakini kwa mwaka huu hataweza kuachia kazi mpaka mwezi wa kwanza ambapo ataachia kazi yake mpya akiwa na Khadja Kopa.

“Kiukweli nina kazi nyingi ndani zote kali lakini mpaka sasa ushindani upo kwenye kazi mbili, kuna kazi moja nimefanya na Khadja Kopa inaitwa ‘Mtaa wa Kongo’ ndiyo nayo tegemea kuachia baada ya Jike Shupa, hiyo kazi nitaachia mwezi wa kwanza kwenye tarehe 20 hivi maana saizi ni kama nimechelewa". 


"Najua kuna watu ambao wanasubiri niaachie ngoma nifeli lakini kiukweli mimi nawaamini sana mashabiki zangu ambao wanasimama na mimi siku zote”. Alisema Nuh Mziwanda kwenye planet bongo ya EA Radio.
__________________________________________
  • CHRISTIAN BELA ATUKANWA KISA KUHAMA KWA KIBA KWENDA KWA DIAMOND

KUWA KARIBU NASI LINDIYETU.COM
Usipitwe!! Ungana na Familia hii kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata Infortainment zote!! Usikose kujiunga na Youtube channel yetu ili kupata Exclusive mbalimbali kali kutoka LindiYetu TV

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top