NEW VIDEO MUSIC | BODY TO BODY BY VANESSA MDEE, TREY SONGZ, NEYMA, STONEBWOY, LIJ MICHAEL & NYASHINSKI

Vanessa Mdee
Ile collabo iliyofanyika ndani ya Coke Studio ya Mmarekani Trey Songz akiwana na wasanii Vanessa Mdee, Neyma, Stonebwoy, Lij Michael, Nyashinski na DJ Maphorisa akiutengeneza Mdundo wa ngoma hiyo iliyopewa jina "BODY TO BODY" Hatimae Imetoka. Isikilize na Kuitazama hapa Chini.

Usisahau Kuniachia Comment yako Hapo chini
************

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post