BRAND NEW VIDEO MUSIC | GIVING YOU BY VICTORIA KIMANI FT SARKODIE | WATCH HERE
byUnknown-
0
Msanii kutoka Kenya Victoria Kimani ameachia video yake mpya akimshirikisha Rapper mkali kutoka Ghana Sarkodie. Wimbo unaitwa "Giving You". Itazame hapa.
Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...