KIMENUKA...!! QUEEN DARLEEN NA ALIKIBA KUHUSU NGOMA YA "WAJUA"

Katika kuelekea kuumaliza mwaka, timu nzima ya WCB na wapenda burudani wanakutana kwenye kiwanja cha Jangwani Seabreez kwaajili ya party maalumu ya kufunga mwaka iliyo andaliwa na timu hiyo.
Queen Darleen na Alikiba

Queen Darleen ni msanii wa kwanza wa kike kuwa katika lebo hiyo ya wasafi na ni miongoni mwa wasani watakao perform kwenye party hiyo.

Hivi unaikumbuka ile ngoma ya Queen Darleen na Alikiba iliyowahi kushika chati miaka ya nyuma. Sasa mchezo unaanzia hapo, je? Msanii huyo ataicheza ngoma hiyo au hato ujali utofauti wa Diamond Platnumz na Alikiba.

Jawabu liko hapa Bofya Play katika Video hapa Chini.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post