Unknown Unknown Author
Title: KUHUSU WACHEZAJI NA MAKOCHA WA KIGENI NCHINI KUTOKA IDARA YA UHAMIAJI
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Idara ya uhamiaji leo December 21 2016 ilitoa tamko kwa vilabu vyote vya Ligi Kuu Tanzania bara kutoendelea kuwatumia wachezaji wake wa ki...
Idara ya uhamiaji leo December 21 2016 ilitoa tamko kwa vilabu vyote vya Ligi Kuu Tanzania bara kutoendelea kuwatumia wachezaji wake wa kigeni hadi watakapotimiza masharti ya uwepo wao nchini kisheria.
Niyonzima na Obrey Chirwa
Uhamiaji wamevitaka vilabu vya Simba, Yanga na Azam FC kuhakikisha wachezaji wake na makocha wao wa kigeni wanapata vibali vya kufanyia kazi nchini pamoja na kuishi, hata hivyo Yanga wao wachezaji wao wana vibali vya kazi na vya kuishi nchini isipokuwa makocha wao ndio wana vibali vya kazi pekee.

Kwa upande wa watani zao wa jadi Simba wao hawajatimiza vigezo hivyo kwa wachezaji wao wa kigeni na makocha wao, hivyo hawaruhusiwi kuendelea kuwatumia wachezaji wao ambao hawana vibali mpaka watakapo vipata vibali.


_________________________________________________________________________________
  • Qeendarleen Kamtosa Alikiba

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top