JOKATE ATUMIA MTANDAO WA SNAPCHAT KUELEZA KWA MAFUMBO JINSI ANAVYOUMIZWA NA AMPENDAYE

Huenda mwanaume ambaye Jokate Mwegelo anampenda kwa dhati ameshindwa kutambua thamani yake kiasi cha kumpa kidonda cha moyo anachokiuguza sasa.Jokate Mwegelo
Ni nani mwanaume huyo? Last time tumecheki, mwanaume pekee aliyepokea neno ‘I love You’ kutoka kwa mrembo huyo ni Alikiba. Iko tricky kidogo sababu hadi sasa bado mastaa hao wanakanusha kuwa na uhusiano.

Anyways, acha turejee kwa Jokate. Siku nzima, mtangazaji na mjasiriamali huyo amekuwa akitumia Snapchat kupost series ya picha zenye ujumbe wa mafumbo wa mwanamke aliyeumizwa. Hizi ni Baadhi ya jumbe alizozituma.
**************

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post