Unknown Unknown Author
Title: HATIMAYE GARI JIPYA LA KIFAHARI LA DIAMOND LAANZA KUSAFIRISHWA KUJA NCHINI TANZANIA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
The Rolls Royce musician from east africa Diamond a.k.a Simba or Chibu Dangote hatimaye amekamilisha ndoto zake za siku nyingi baada ya ...
Diamond Platnumz New Car
The Rolls Royce musician from east africa Diamond a.k.a Simba or Chibu Dangote hatimaye amekamilisha ndoto zake za siku nyingi baada ya order yake ya gari aina ya Rolls Royce kukamilika na gari hilo liko njiani kuwasili mikononi mwake punde… 

Gari hilo aina ya Rolls Royce Drop Head coupe 6.7 Litre V-12 ambalo limeagizwa kupitia kampuni ya Newline Luxury Motors ambalo order yake ina waiting time ya six months kuanzia unapolipia hadi litengenezwe hadi likufikie mteja.

HIZI NI BAADHI YA PICHA YA GARI HILO:
Diamond Platnumz New Car
Diamond Platnumz New Car
Diamond Platnumz New Car
Diamond Platnumz New Car

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top