Ni wiki chache tu zimepita baada ya Kuachia Ngoma iliyokwenda kwa jina la "KOKU" akiwa kamshirikisha Patoranking kutoka Nigeria.
Anaitwa Abubakari Katwila jina la Usanii Q-Chila, Leo ameachia rasmi Video ya wimbo wake Mwingine Mpya unaoitwa "SUNGURA" nami sina hiana nimekusogezea hapa.
Enjoy.

Tags
VIDEOS