BRAND NEW AUDIO MUSIC | KAA NAO BY MWASITI | DOWNLOAD/LISTEN

Kaa Nao by Mwasiti | Lindiyetu.comNaweza Kumwita Malkia wa Bongo fleva Mwite Mwasiti Almasi, baada ya kukaa kimya Kirefu karudi na Ngoma hii iliyopewa jina "KAA NAO".

Ngoma hii imefanya katika Studio za EPIC na Producer ni EMA THE BOY.

Enjoy The Good Music.


**********

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post