BRAND NEW VIDEO MUSIC | CASH MADAME BY VANESSA MDEE | WATCH HERE

The one and only Queen Vee, Vanessa Mdee, Jana amedropisha ngoma yake nyingine kali inayokwenda kwa jina la “Cash Madame” Audio unaweza kuipata kupitia mtandao wa Mkitoni.
Vanessa Mdee - Cash Madame
Dude linahusu Watoto flan hivi (WADADA) wanaopiga mbishe kimpango wao bila kusimamiwa show na Ma sponsaree. (SPONSOR) Cash Madame imetengenezwa na E Kelly Beatz.

Chupa hili hapa lichungulie..

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post