HomeVIDEOS BRAND NEW VIDEO MUSIC | ALL NIGHT BY BEYONCE | WATCH HERE byUnknown -1:23:00 AM 0 Rnb staa Beyoncé anaendelea kutoa nyimbo kutoka kwenye album yake ya LEMONADE , Wiki hii ametoa “All Night”. Kwenye video hii anaonekana rapa Jay Z, Blue Ivy, Tina Lawson, Zendaya, Chloe x Halle, na wasanii wengine tofauti. Tags VIDEOS Facebook Twitter