NIVA SUPER MARIO AJIGAMBA KUWA NA MKE MZURI KULIKO MSANII YOYOTE BONGO

Ni siku chache tu zimepita baada ya Bongo Movie Star Zuberi Muhammed almaarufu kama Niva Super Marioo kufunga ndoa.
mke wa Niva
Mkali huyo ame-make headlines baada ya kujitapa kinoma noma katika kipindi cha Clouds E kinachoruka Clouds TV kila siku za wiki saa 1:15 Jion.

Akiongea kwa kujiamini mkali huyo amefunguka kuwa yeye ndio msanii pekee wa Bongo Movie kati ya ambao wameoa ambaye anamiliki mke mzuri kushinda wote.

Akiendelea na kudai kuwa kitendo chake cha kufunga ndoa kimewauma wasanii wengi wa kike wa tasnia hiyo.

Nisikumalizie uhondo, Play hii video hapa chini kumsikiliza mwenyewe akijinadi.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post