Hitmaker wa ngoma ya "Migulu pande", "Vuvula" na "Pombe Yangu" namzungumzia Madee kutoka kundi la TipTop Connection ameamua kufunguka juu ya kolabo yake na Tekno ambayo aliahidi kuitoa muda mrefu.
Akiongea na Lindiyetu.com, Madee aliamua kuweka wazi kuhusu mambo ambayo yamefanya kuchelewa kwa kolabo hiyo, Madee amefunguka na kusema kwamba jambo kubwa ambalo lilikwamisha ngoma hiyo ni video, kwamba wakati Tekno alikuwa anahitajika kwenye kushoot video ya wimbo huo alikuwa yuko mbali na Afrika kwenye tour zake lakini ngoma tayari imeshakamilika.
Sitaki nikuchoshe Msikilize hapa Akifunguka Lini ataachia kolabo hiyo.
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.