BRAND NEW VIDEO & AUDIO MUSIC | ONLY YOU BY JOSLIN | WATCH & DOWNLOAD HERE

Baada ya Kuwa kimya kwa muda mrefu sasa Mkali kutoka kundi la Wakali Kwanza Joslin ameamua kuvunja ukimya wake kwa kuachia Video na Audio ya Wimbo wake mpya alioupa jina "ONLY YOU".
Joslin - "ONLY YOU"
Ngoma hiyo imefanyika katika Studio za Mj Records na Mtayarishaji wa Mdundo huo ni Beefchaa na kufanyiwa mchanganyiko na Marco Chali, Huku Muongozaji wa Video hiyo akiwa ni RichcashX.

Kama ilivyoada yetu Lindiyetu.com hatutaki kikupite chochote. Enjoy the Good Music.


**********************

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post