BRAND NEW AUDIO MUSIC | UMENIKUTAGA BY MIKE TEE & CHEGE CHIGUNDA | DOWNLOAD/LISTEN

Mkongwe katika Gemu la Muziki wa Bongo fleva Mike Tee Mnyalu aliyetesa na Hits Kibao kama "SITABADILIKA" amerudi kwa Kishindo mara baada ya kuwa Kimya kwa Muda mrefu.Mike Tee x Chege Chigunda - Umenikutaga | Lindiyetu.com
Mike Tee ametoka na Ngoma aliyoipa jina "UMENIKUTAGA" akiwa kamshirikisha Kijana Kutoka Kiumeni Chege Chigunda. Ngoma imefanywa pale Mj Records na watayarishaji wawili Marco Chali na Mofire.

Nakupa wasaa wa kuisikiliza hapa chini Bofya Play.


_______________________________________________________________________________
    • KIMENUKA...!! QUEEN DARLEEN NA ALIKIBA KUHUSU NGOMA YA "WAJUA"

    Post a Comment

    Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

    Previous Post Next Post