BRAND NEW AUDIO MUSIC | KIJUSO BY QEEN DARLEEN FT RAYVANNY | DOWNLOAD/LISTEN

Kutoka usafini WCB huyu hapa Queen Darleen mrembo pekeee ambaye anatambulika kama msanii katika lebo hiyo ameachia rasmi ngoma yake mpya ambayo kamshirikisha Raaymond (Rayvanny).
Queen Darleen - Kijuso
Ni baada ya kimya cha muda mrefu cha mwanadada huyo katika game ya music na hii ikiwa ndio ngoma yake ya kwanza kuitoa akiwa chini ya lebo hiyo ya WCB Wasafi.

Mikono ya Laizer Classic wa Wasafi records ndio ambayo imehusika katika beat mpaka mixing ya ngoma hii.


Enjoy
  • Diamond Platnumz New Audio - Barua

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post