MR. BLUE KUJA NA MRADI HUU HAPA, ATUONJESHA LOGO YAKE

Mr Blue ameonjesha logo ya mradi wake mpya ambao anadai unakuja hivi karibuni. Japo hajasema ni kitu gani, kuna kila dalili kuwa inaweza kuwa ni clothing line yake.
ByserKupitia Instagram, rapper huyo wa Mboga Saba amepost picha yenye logo na jina ‘Byser’ na kuandika #somethingiscoming.

Katika kipindi cha miaka miwili hii, Blue amekuwa mmoja wa wasanii walioingiza fedha nyingi kupitia show mbalimbali huku akiwa msanii aliyetumbuiza kwenye takriban show zote za Fiesta mwaka huu. 

ByserKuwekeza kwenye miradi mingine tofauti na muziki kunamweka kwenye nafasi nzuri zaidi ya kuingiza fedha.

  • Calisah Wema ni msichana mzuri na mwenye mapenzi ya kweli

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post