Baada ya kufanya pouwa sana katika Tamasha kubwa linalofanyika kwa mwaka maramoja nchini Tanzania Fiesta 2016 Imoooo...!!! Msanii kutoka WCB Rayvanny amewapa zawadi mashabiki wa Mziki mzuri.
Msanii huyo ameachia Video ya wimbo wake SUGU ambayo ilikuwa Exclusive usiku wa Fiesta ndani ya viwanja vya Leaders Club jijini Dar es salaam Usiku wa kuamkia Leo.
Bofya hapa Kuitazama.
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.