MANNY PACQUIAO ACHUKUA MKANDA MBELE YA FLOYD MAYWEATHER

Floyd Mayweather ameona kwani shilingi ngapi akienda kutazama pambano la Manny Pacquiao huko jijini Las Vegas na kumpa pongezi.
Manny Pacquiao
Katika Mpambano huo Bondia Pacquiao ameondoka na ushindi katika pambano lake la mkanda wa Welterweight wa WBO kwa kumpiga mpinzani wake Jessie Vargas.
Floyd Mayweather
Baada ya Pacquiao kuchukua ubingwa huo akiwa mbele ya Floyd Mayweather, Mayweather amefunguka na kusema kwamba “Not bad”.
Manny Pacquiao Vs Jessie Vargas
Manny Pacquiao Vs Jessie Vargas
Manny Pacquiao Vs Jessie Vargas

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post