HUU NDIO UJUMBE WA PRINCESS TIFFAH BAADA YA KUFIKISHA FOLLOWERS MILIONI 1 INSTAGRAM

Hakuna ubishi kuwa Princess Tiffah ndiye mtoto maarufu zaidi Afrika kwa sasa.
Princess Tiffah
Umaarufu wake unazidi kuongozeka kiasi ambacho wiki hii amefikisha followers milioni 1 kwenye mtandao wa Instagram.

Umaarufu huo hajahangaika hata kuutafuta kwakuwa ni mtoto wa couple maarufu zaidi pia Afrika Diamond na Zari.
Zari na Diamond
Akaunti yake husimamiwa na mama yake ambaye katika kusherehekea hatua hiyo ameamuandikia: Who wouldn’t be excited with a new Bentley whip ðŸš˜ THANK YOU MY 1 MILLION FOLLOWERS😘.


Zari na Diamond wanatarajia kupata mtoto wa pili mwezi ujao.
*********

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post