BRAND NEW AUDIO MUSIC | NITAMPIGIA BY STAMINA FT MR. BLUE | DOWNLOAD/LISTEN
byUnknown-
0
Stamina ameachia wimbo wake Mpya aliomshirikisha Mr. Blue wimbo unakwenda kwa jina la "NITAMPIGIA", Wimbo umefanyika katika Studio za KIRI Records. Bofya hapo chini Kuupakua, Usisahau kuniachia Comment yako hapo chini.
Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...