BRAND NEW AUDIO MUSIC || KOKORO BY RICH MAVOKO FT DIAMOND PLATNUMZ | DOWNLOAD/LISTEN
byUnknown-
0
Tunaweza sema WCB wameamua kuumaliza mwaka vizuri kwa kuachia Hit Nyingine kutoka kwa Kijana wao Rich Mavoko akiwa amemshirikisha Boss wake Diamond Platnumz Jina la wimbo ni "KOKORO".
Producer wa Ngoma hii ni yule yule Laizer kutoka Wasafi Records, Sitaki nikumalizie Muda wako fanya kuipakua hapa hutojilaumu kutumia Bando lako kuisikiliza nyimbo hii.
Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...