Unknown Unknown Author
Title: WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AKARIBISHA WAWEKEZAJI KUWEKEZA KATIKA SEKTA YA VIWANDA HAPA NCHINI
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akitoa hotuba ya ufunguzi wa kongamano la uwekezaji lilo andaliwa na jumuiya ya Dowoodi Bohora lililo fan...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akitoa hotuba ya ufunguzi wa kongamano la uwekezaji lilo andaliwa na jumuiya ya Dowoodi Bohora lililo fanyika hapa nchini katika ukumbi wa mwalimu Nyere jijini Dar ess salam linalo lenga kutangaza fursa za uwekezaji Tanzania kongamano hilo liliuhudhuriwa na wafanya biashara sekta mbali mbali kutoka zaidi ya nchi 40 duniani.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipokea shukurani kutoka kwa mwakilishi wa Shehe mkuu wa Bohara kutoka Mumbai Shehe Badrul Jamali baada ya kufungua kongamano la uwekezaji lililo andaliwa na Jumuiya ya Dawoodi Bohora linalo elezea furusa za uwekezaji nchini Tanzania kushoto ni Waziri wa Viwanda Biashara na Uwekezaji Chales Mwijage Kongamano hilo lilihudhiriwa na Bohara zaidi ya mianne wasekta mbalimbali kutoka zaidi ya Nnchi 40 kongamano hilo limefanyika katika ukumbi wa mikutano Kimataifa wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na mwakilishi wa Shehe mkuu wa Bohora kutoka Mumbai Shehe Badrul Jamal katikati ni muandaaji wa kongamano la wafanya biashara wa Dhehebu la Dawood Bohora Bwana Mustafa Asnali kongamano hilo lilikuwa likielezea furusa za uwekezaji zilizopo Tanzania.

Picha zote na Chris Mfinanga
*************

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top