
Baada ya kukaa kimya kwa miezi kadhaa, muongozaji wa video wa Arusha, Nisher amerejea tena kazini na awamu hii akiwa na camera mpya aliyoinunua kwa $15,000.

Ili kuhakikisha kuwa anatoa video zenye kiwango zaidi, amekuwa akiijaribu kamera hiyo kwa kufanya series fupi aliyoipa jina Alex.
Hizi ni sehemu za series hiyo.