OFFICIAL VIDEO MUSIC || DAVIDO FT TINASHE - HOW LONG || ITAZAME HAPA

Davido ft Tinashe - How Long
Staa wa hit singles kutoka West Africa, Nigeria Davido, leo October 14, 2016 ameachia single yake mpya aliyomshirikisha mwimbaji Mmarekani mwenye asili ya Zimbabwe Tinashe. Single hiyo ameipa jina "How Long" na imekwenda sambamba na utokaji wa Video ya wimbo huo Nimekuwekea Hapa.

Itazame kisha Toa Maoni yako:

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post