
Hitmaker wa Marioo Hamadai amekuwa anatajwa kutoka kimapenzi na msanii Shilole kutokana na picha zilizokuwa zimesambaa kwenye mitandao ya kijamii, licha ya kukanusha mara kadhaa lakini Hamadai amekuja na hii mpya kuhusu yeye na Shilole.
Unaweza kumsikiliza kwenye Video Hapo chini.
Tags
HABARI ZA WASANII